advert banner

advert banner
Advert banner

HII NDIO KAULI YA IDARA YA UHAMIAJI KWA WAHAMIAJI WOTE NCHINI



Idara ya uhamiaji nchini imetoa siku 30 kwa wageni wote wenye vibali vya ukaazi kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi za uhamiaji vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.
Kauli hiyo imetolewa leo na Kamishna wa Usimamizi na Udhibiti wa mipaka Samwel Magweiga jijini Dar es Salaam.

Chanzo: ITV

No comments

Powered by Blogger.