advert banner

advert banner
Advert banner

HAYA NDIYO YANAYOENDELEA KUHUSU TUNDU LISSU HUKO KENYA. FAMILIA YAKE YASEMA YAFUATOYO




Familia imesema Lissu anaendelea vyema sasa, na kwa sasa anaweza kula mwenyewe lakini pia kuzungumza, siku ya Jumatatu familia ilikutana na ofisi ya Bunge kwenye kikao cha siri kujadili juu ya halj ya Lissu, yaliyoongelewa yamebakk kuwa siri.
Familia imeandika barua kwa waziri qa sheria na katiba na mwanasheria mkuu wa serikali ili kuharakisha uchunguzi wa suala la Tundu Lissu na wameomba uchunguzi ujumuishe wataalam na wachunguzi kutoka nje ya nchi.

CHANZO: TIMES FM

No comments

Powered by Blogger.