Mkuu wa wilaya ya ilala jijini Dar es Salaam Bi.Sophia Mjema amepiga marufuku vijana wa ulinzi shirikishi kujishughulisha na ukamataji wa bodaboda badala yake vijana hao wasaidie kufichua wizi na vitendo vingine vya kihalifu. Chanzo: ITV
Post a Comment